My Store

<tc>Ashwagandha Powder (Poda ya Ashwagandha)</tc>

Regular price 17,000.00 TZS
Ukubwa
Regular price 17,000.00 TZS

Ashwagandha Powder: Utulivu wa akili, Nguvu, Afya na Usingizi mzuri

Jina la Kisayansi:
Withania somnifera

Maelezo:
Ashwagandha Powder hutengenezwa kutoka kwa mzizi wa mmea wa Ashwagandha.
Katika tiba ya Ayurveda, mmea huu umetumika kwa zaidi ya miaka 3,000 kusaidia mwili kudumisha usawa na nguvu za kila siku.
Umetayarishwa bila kemikali au dawa za kuua wadudu na unasagwa vizuri ili kuwa rahisi kutumia.

Umbo la Bidhaa:
Unga laini ulio sagwa vizuri.

Viambato:
100% Ashwagandha root powder ya asili (Withania somnifera).


Faida Kuu

Kwa Msongo wa Mawazo na Usawa:

  • Hutumika kama adaptogen kusaidia mwili kustahimili msongo wa mawazo wa kila siku.

  • Husaidia mwili kudumisha utulivu na usawa hata ukiwa na maisha yenye shughuli nyingi.

Kwa Nguvu na Afya:

  • Hutoa virutubisho asilia vinavyosaidia kuongeza nguvu.

  • Husaidia kujisikia una nguvu na afya njema ukiwa na lishe bora.

Kwa Ustawi wa Mwili Kwa Ujumla:

  • Huchangia katika maisha yenye usawa na afya kamili.


Jinsi ya Kutumia (Matumizi ya Ndani)

Matumizi ya Kila Siku:

Changanya nusu (½) hadi kijiko kimoja (1 tsp) kwenye:

  • Smoothie kwa kuongeza nguvu kila siku.

  • Chai ya mitishamba kwa utulivu.

  • Vinywaji vya afya (wellness tonics) kwa lishe ya ziada.

  • Maji kwa njia rahisi ya kila siku.

Ratiba Inayopendekezwa:

  • Tumia mara 1 au 2 kwa siku, ikiwezekana ukiwa huna chakula tumboni (asubuhi au kabla ya kulala).


Tahadhari:

  • Kwa matumizi ya ndani pekee.

  • Wasiliana na daktari kabla ya kutumia ukiwa ni mjamzito, unanyonyesha au unatumia dawa.

  • Weka mbali na watoto.


Hifadhi:

  • Hifadhi sehemu kavu na baridi, mbali na jua.

  • Funga vizuri baada ya kila matumizi ili kudumisha ubora.