
Mara Organics
<tc>Ultrasonic Aroma Air Humidifier</tc>
Regular price
45,000.00 TZS
Rangi
Regular price
45,000.00 TZS
Ultrasonic Aroma Air Humidifier
Nyenzo:
Plastiki ABS + PP (rangi ya mbao)
Aina:
Kifaa cha kutoa harufu kwa njia ya ultrasonic (USB)
Vipimo:
95 × 95 × 150 mm
Uzito:
130 g
Adapta ya Umeme:
DV 5V
Urefu wa Waya:
1 mita
Nguvu:
3 watts
Uwezo:
130 ml
Matumizi:
Ofisi, Nyumbani, Chumba cha kulala, Sebule, Gari n.k.
Mafuta:
Inatumia mafuta yoyote ya asili (essential oils)
Sifa Kuu:
Hutoa ukungu baridi kwa teknolojia ya ultrasonic
Rahisi kutumia
Haina kelele (inatumika kimya kabisa)
Rangi: Kahawia Tii (Dark Brown)
Share